ngosha.com/
Visitor #1,521 — Ngosha SaaS Ecosystem

Tunajenga Mustakabali kuwawezesha Watanzania katika shughuli zao za kujikwamua kiuchumi kupitia mifumo ya Kidijitali

Karibu kwenye jukwaa la kizalendo linalobadilisha namna shughuli za kiuchumi zinavyoendeshwa Tanzania.
Ngosha Multimedia inaleta mifumo 14 ya kisasa, iliyobuniwa na Watanzania kwa Watanzania – kwa mahitaji halisi ya soko letu.
Hapa hatuleti ndoto, tunaleta suluhisho.
Cloud Based Msaada 24/7 Bei Nafuu Made in TZ
ANZA KWA URAHISI

Suluhisho lako liko hatua tatu tu

Chagua mfumo, jaribu kwa demo au trial, kisha endelea na biashara yako kwa msaada wa timu yetu.

1
Chagua mfumo

Tafuta suluhisho linalolingana na biashara, shule, hoteli au kazi yako.

2
Jaribu bila presha

Omba demo au anza trial inayopatikana kabla ya kufanya uamuzi.

3
Kua kwa uhakika

Pata onboarding, msaada wa WhatsApp na mfumo unaokua pamoja na wewe.

TAZAMA KABLA YA KUANZA

Mifumo iliyoundwa kwa kazi halisi

Mifumo yote
Ngosha Hotels dashboard preview
Ngosha Hotels

Bookings, vyumba, wageni, malipo na ripoti sehemu moja.

Angalia Hotels
Ngosha HRM dashboard preview
Ngosha HRM

Wafanyakazi, mishahara, likizo, mahudhurio na ripoti.

Angalia HRM
Ngosha Mauzo POS preview
Ngosha Mauzo

POS, stock, wateja, madeni na ripoti kwa biashara.

Angalia Mauzo
MUHTASARI WA BEI

Anza na mpango unaokufaa

Bei za mwanzo kwa mifumo yetu ya biashara. Wasiliana nasi kwa demo, onboarding na mipango ya taasisi.

MfumoUnachopataBei ya kuanzia
Ngosha HotelsBookings, vyumba na ripotiTZS 75K/mweziAngalia
Ngosha HRMWafanyakazi, likizo na mishaharaBURE kuanzaAngalia
Ngosha MauzoPOS, stock na madeniTZS 50K/mweziAngalia
Ngosha SchoolWanafunzi, ada na matokeoTZS 100K/mweziAngalia
BIDHAA ZETU

Mifumo 14 ya Kisasa kwa Biashara & Matumizi Binafsi

Kila mfumo umeundwa kwa ubora wa hali ya juu kutatua changamoto halisi za biashara za Tanzania.

Mifumo ya SaaS (Subscription)
Zana za Bure (FREE)
NgoshaChatBot

Msaidizi wa Akili Mnemba - Mazungumzo kwa Kiswahili na English, 24/7.

BURE
PDF Tools

Unganisha, punguza ukubwa, na badili format za PDF kwa urahisi.

BURE
Ngosha Barua

Tuma barua na ujumbe kwa wingi kwa urahisi na kwa usalama.

BURE
Ngosha QR Code

Tengeneza QR codes bure kwa ajili ya link, WhatsApp, mawasiliano, na WiFi.

BURE
Ngosha AI Editor

Futa background (AI), weka rangi upya, na tengeneza picha za Passport.

BURE
Ngosha Excel

Badili Excel na CSV zako kuwa grafu na takwimu za kisasa (BI Reports).

BURE
Ngosha Branding

Studio ya kisasa ya kusanifu Label za bidhaa zako (Honey, Oils, Crops) na kuzipakua bure.

BURE
Tanzania
KUHUSU SISI

Ngosha Multimedia - Wabunifu wa Kidijitali Tanzania

Tunaamini teknolojia inaweza kubadili maisha na uchumi wa Watanzania. Kutoka Dodoma, tunaunda mifumo ya kisasa inayosaidia biashara kuendelea mbele kwa njia ya kidijitali. Kila bidhaa imeundwa kwa kuzingatia mahitaji halisi ya soko la Tanzania.

Mifumo ya Kisasa
Msaada 24/7
Bei Nafuu Sana
Made in TZ
Cloud Based
Mobile Friendly
Wasiliana Nasi
0
Wateja
0
AI Chats
0
Mafundi
0
Bidhaa
KWA NINI SISI

Kwa Nini Uchague Ngosha?

Cloud Based

Fikia mfumo wako popote ulipo - simu, laptop, tablet. Data yako iko salama cloud 24/7.

Bei Nafuu Sana

Mipango ya bei kuanzia BURE hadi Enterprise. Chagua mpango unaokufaa biashara yako.

Msaada 24/7

Timu yetu iko tayari kukusaidia kupitia WhatsApp, simu au email wakati wowote.

Usalama wa Hali ya Juu

Encryption ya data, backup za kila siku, na mifumo ya ulinzi wa kisasa.

Mobile Friendly

Mifumo yote inafanya kazi vizuri kwenye simu, tablet, na kompyuta.

Imeundwa Tanzania

Imeundwa na Watanzania kwa Watanzania. Tunajua changamoto za hapa nyumbani.

UAMINIFU NA MATUMIZI

Imejengwa kwa changamoto halisi

Tunaweka teknolojia kwenye lugha na mtiririko unaoeleweka kwa biashara na taasisi za Tanzania.

Biashara ndogo

Dhibiti mauzo, stock, madeni na taarifa bila kutegemea spreadsheets pekee.

Taasisi zinazokua

Panga watu, shule, hoteli na utafiti kwa mifumo iliyoandaliwa kwa hatua inayofuata.

Msaada wa karibu

Pata onboarding na msaada kupitia WhatsApp, simu na email kwa lugha inayoeleweka.

Tunaongeza ushuhuda wa wateja halisi baada ya kupata ruhusa yao—hatutumii reviews za kutengenezwa.
MASWALI YA MARA KWA MARA

Unataka kujua nini?

Je, naweza kuanza bila kadi ya benki?

Ndiyo. Zana nyingi ni bure, na kwa mifumo yenye trial unaweza kuanza kwa kuomba demo au kuwasiliana nasi.

Mifumo inafanya kazi kwenye simu?

Ndiyo. Landing pages na mifumo iliyotengenezwa kwa web imeboreshwa kwa simu, tablet na kompyuta.

Data yangu inalindwa vipi?

Tunatumia access controls, mazingira yaliyolindwa na taratibu za usalama. Soma ukurasa wa usalama kwa maelezo zaidi.

Ninawezaje kupata demo?

Tumia fomu ya WhatsApp hapa chini au tuma ujumbe moja kwa moja kwa timu ya Ngosha Multimedia.

Ninaweza kusitisha huduma niliyolipia?

Ndiyo, wasiliana nasi na soma sera ya marejesho na usitishaji kwa utaratibu wa maombi.

MAWASILIANO

Wasiliana Nasi

Tuko tayari kukusaidia. Piga simu, tuma WhatsApp au email.

OMBA DEMO

Tupatie dakika 2 tukuelekeze

Jaza taarifa chache; ujumbe wako utafunguka WhatsApp ukiwa tayari kutumwa.

Mahali

Dodoma, Tanzania

Simu / WhatsApp

+255 754 644 199