Sera ya Marejesho na Usitishaji
Sera hii inaeleza namna ya kusitisha mpango wa kulipia na jinsi tunavyoshughulikia maombi ya marejesho.
Usitishaji wa huduma
Unaweza kuomba kusitisha mpango wako kwa kuwasiliana nasi kupitia WhatsApp au info@ngosha.com. Usitishaji utatumika kulingana na kipindi cha malipo na masharti ya mpango wako.
Maombi ya marejesho
Maombi ya marejesho yataangaliwa kwa kuzingatia tarehe ya malipo, matumizi yaliyofanyika, aina ya mpango na sababu ya ombi. Wasiliana nasi mapema iwezekanavyo ukiwa na risiti au transaction reference.
Muda wa kushughulikia
Timu yetu itathibitisha ombi lako na kukupa majibu kupitia channel uliyotumia. Muda wa fedha kuonekana baada ya marejesho unaweza kutegemea mtoa huduma wa malipo au benki.
Trial na huduma za bure
Huduma za bure na trial zisizo na malipo hazina fedha za kurejesha. Kabla ya kulipia, tunakushauri utumie trial au uombe demo ili kuthibitisha kama mfumo unakufaa.
Mawasiliano
Kwa usitishaji au refund, tuma jina la akaunti, mfumo unaotumia, tarehe ya malipo na transaction reference kupitia info@ngosha.com au WhatsApp +255 754 644 199.