
Chagua mfumo, jaribu kwa demo au trial, kisha endelea na biashara yako kwa msaada wa timu yetu.
Tafuta suluhisho linalolingana na biashara, shule, hoteli au kazi yako.
Omba demo au anza trial inayopatikana kabla ya kufanya uamuzi.
Pata onboarding, msaada wa WhatsApp na mfumo unaokua pamoja na wewe.



Bei za mwanzo kwa mifumo yetu ya biashara. Wasiliana nasi kwa demo, onboarding na mipango ya taasisi.
Kila mfumo umeundwa kwa ubora wa hali ya juu kutatua changamoto halisi za biashara za Tanzania.
Mfumo kamili wa usimamizi wa hoteli - Bookings, Vyumba, Wageni, Malipo na Ripoti.
TZS 75K/mweziUsimamizi wa rasilimali watu - Wafanyakazi, Likizo, Mishahara, Uhamisho na Ripoti.
Kuanzia BUREPOS System ya kisasa - Mauzo, Stock, Wateja, Madeni na Ripoti za kina.
TZS 50K/mweziUsimamizi wa shule - Wanafunzi, Matokeo, Ada, Walimu na Mahudhurio.
TZS 100K/mweziMfumo wa Kilimo - Taarifa za soko, usimamizi wa mifugo, mikopo na utaalamu wa AI.
Kuanzia BUREDhibiti Kijitabu, Madeni, Stoo, POS na VICOBA, na Upate Michongo kwenye simu yako kwa wepesi.
Kuanzia BUREMfumo wa kisasa wa utafiti - Tengeneza dodoso (Surveys), kusanya maoni, na chambua data kwa AI.
Kuanzia BUREMsaidizi wa Akili Mnemba - Mazungumzo kwa Kiswahili na English, 24/7.
BURETengeneza QR codes bure kwa ajili ya link, WhatsApp, mawasiliano, na WiFi.
BUREFuta background (AI), weka rangi upya, na tengeneza picha za Passport.
BUREBadili Excel na CSV zako kuwa grafu na takwimu za kisasa (BI Reports).
BUREStudio ya kisasa ya kusanifu Label za bidhaa zako (Honey, Oils, Crops) na kuzipakua bure.
BURE
Tunaamini teknolojia inaweza kubadili maisha na uchumi wa Watanzania. Kutoka Dodoma, tunaunda mifumo ya kisasa inayosaidia biashara kuendelea mbele kwa njia ya kidijitali. Kila bidhaa imeundwa kwa kuzingatia mahitaji halisi ya soko la Tanzania.
Fikia mfumo wako popote ulipo - simu, laptop, tablet. Data yako iko salama cloud 24/7.
Mipango ya bei kuanzia BURE hadi Enterprise. Chagua mpango unaokufaa biashara yako.
Timu yetu iko tayari kukusaidia kupitia WhatsApp, simu au email wakati wowote.
Encryption ya data, backup za kila siku, na mifumo ya ulinzi wa kisasa.
Mifumo yote inafanya kazi vizuri kwenye simu, tablet, na kompyuta.
Imeundwa na Watanzania kwa Watanzania. Tunajua changamoto za hapa nyumbani.
Tunaweka teknolojia kwenye lugha na mtiririko unaoeleweka kwa biashara na taasisi za Tanzania.
Dhibiti mauzo, stock, madeni na taarifa bila kutegemea spreadsheets pekee.
Panga watu, shule, hoteli na utafiti kwa mifumo iliyoandaliwa kwa hatua inayofuata.
Pata onboarding na msaada kupitia WhatsApp, simu na email kwa lugha inayoeleweka.
Ndiyo. Zana nyingi ni bure, na kwa mifumo yenye trial unaweza kuanza kwa kuomba demo au kuwasiliana nasi.
Ndiyo. Landing pages na mifumo iliyotengenezwa kwa web imeboreshwa kwa simu, tablet na kompyuta.
Tunatumia access controls, mazingira yaliyolindwa na taratibu za usalama. Soma ukurasa wa usalama kwa maelezo zaidi.
Tumia fomu ya WhatsApp hapa chini au tuma ujumbe moja kwa moja kwa timu ya Ngosha Multimedia.
Ndiyo, wasiliana nasi na soma sera ya marejesho na usitishaji kwa utaratibu wa maombi.
Tuko tayari kukusaidia. Piga simu, tuma WhatsApp au email.
Jaza taarifa chache; ujumbe wako utafunguka WhatsApp ukiwa tayari kutumwa.