QR Code Moja,
Bidhaa Zote Zako
Kadi za biashara, tiketi, vyeti, vitambulisho, fulana, bidhaa dukani, mabango na menyu — weka QR moja ya Ngosha, mteja a-scan, mfumo athibitishe uhalali papo hapo.
1. Chagua Aina
2. Weka Taarifa
3. Muonekano & Rangi
Rangi
Low contrast (0:1). QR inaweza isisomeke — ongeza tofauti ya rangi.
4. Ubora & Uharibifu
Drag to cover data modules. Pakua inabaki safi.
Linganisha levels
Higher levels = spare bits zaidi, grid inakua kubwa.
✨ Inasasishwa live • Hakuna data inayotoka nje
Muonekano wa QR
—
Jaza taarifa kisha bonyeza "Tengeneza"
Soma QR kwa Camera au Picha
Kamera inasoma yenyewe — hakuna shutter. Au pakia picha kutoka gallery.
Elekeza kamera, au pakia picha. Inasoma yenyewe.
Kama kamera imezuiwa, tumia "Pakia Picha" — kama desktop scanners.
Jinsi scanner inavyofanya kazi
- Kamera za simu (iPhone, Samsung) zinasoma QR mara moja ikiwa ndani ya frame.
- Hakuna kinachofunguka moja kwa moja — unaona payload kwanza, kisha unaamua kufungua.
- Picha kutoka gallery inafanya kazi kama backup desktop ikizuiwa.
URL
Jaribu: pakua QR kutoka "Tengeneza", kisha ipakie hapa kuhakiki print.
Jiunge — Pata QR ya Uhalali
Jaza → OTP itatumwa kwa noreply@ngosha.com → thibitisha → pata QR inayoelekeza ngosha.com/qrcode/verify?c=CODE
Jinsi inavyofanya kazi
- mtu anajiunga → API inatengeneza NGQ-XXXX-XXXX
- QR value = ngosha.com/qrcode/verify?c=CODE&s=SIG
- Akiscan → verify.php inathibitisha na inaongeza scan_count
API kwa system yako
POST /qrcode/api.php
curl -X POST https://ngosha.com/qrcode/api.php \
-H "Content-Type: application/json" \
-d '{"name":"Juma Ali","phone":"255700000000","type":"member"}'GET /qrcode/api.php?c=CODE
curl https://ngosha.com/qrcode/api.php?c=NGQ-A1B2-C3D4
→ {valid, holder_name, status}
Header: X-Api-Key: xxx kama NGOSHA_QR_API_KEY imewekwa .env