Usalama wa Huduma
Tunachukua usalama wa akaunti, biashara na taarifa zako kwa uzito na tunaendelea kuboresha ulinzi wa huduma zetu.
Ulinzi wa akaunti na data
- Tumia nenosiri la kipekee na usishirikishe OTP au login details.
- Tunatumia controls za access ili watumiaji waone taarifa wanazoruhusiwa kuona.
- Tunaweka juhudi za kufanya backups, monitoring na updates za usalama kwa huduma zinazohitaji.
Taarifa kuhusu tukio la usalama
Ukitambua login isiyo yako, ujumbe wa kutia shaka, data iliyofichuka au tatizo la usalama, tujulishe haraka kupitia info@ngosha.com au WhatsApp +255 754 644 199. Usitumie taarifa hiyo kuvamia, kubadilisha au kufuta data.
Watoa huduma wa nje
Baadhi ya huduma zinaweza kutumia watoa huduma wa malipo, email, hosting au AI. Tunachagua integrations kwa kuzingatia mahitaji ya huduma, usalama na reliability, lakini upatikanaji wao unaweza kuathiri baadhi ya features.
Mawasiliano
Kwa taarifa za usalama au responsible disclosure, wasiliana nasi kwa info@ngosha.com. Tafadhali usitume nenosiri, OTP au taarifa nyeti kwenye ujumbe wako.