Karibu Ngosha School. Anza kutumia mfumo bora wa usimamizi wa shule nchini Tanzania.
Mfumo Kamili (All-in-One)
Usimamizi wa Wanafunzi na Walimu
Ulipaji wa Ada (API Integation)
Kutuma Matokeo (SMS & Email)
Maktaba ya Kidijitali (E-Library)
Tunaamini katika ubora. Ndiyo maana tunakupa Siku 14 za Majaribio Bure. Hakuna malipo yaliyofichwa, anza sasa.