Rahisisha usimamizi wa wanafunzi, matokeo ya mitihani, mahudhurio, na ada za shule. Mfumo mmoja wa kisasa ulioundwa kwa ajili ya mahitaji ya Shule za Tanzania.
Kila kipengele unachohitaji kusimamia shule yako kwa ufanisi kutoka mahali popote.
Taarifa kamili za wanafunzi na wazazi sehemu moja. Usajili, uhamisho, na historia ya masomo.
Fuatilia malipo ya ada na ankara kwa urahisi. Tuma vikumbusho kwa wazazi na toa risiti kidijitali.
Andaa na toa ripoti za matokeo kidijitali. Grading, ranking, na uchambuzi wa utendaji.
Fuatilia mahudhurio ya kila siku kwa wanafunzi na walimu. Ripoti za muda na za mwaka.
Usimamizi wa ratiba, masomo, na mgawanyo wa walimu kwa madarasa husika.
Usimamizi wa academic years, madarasa, mikondo, na mabadiliko ya muhula kwa urahisi.
Chagua mpango unaofaa shule yako. Kila mpango una trial ya siku 14 bure bila malipo.
Kwa shule ndogo
Kwa shule inayokua
Kwa shule kubwa
Jiunge na shule 30+ zinazotumia Ngosha School kusimamia wanafunzi, matokeo, na ada kwa ufanisi wa hali ya juu.