ngosha.com/pdftools/
Ngosha PDF — Client-Side Document Engine
100% Salama (Inachomozewa kwenye Simu/PC yako)

Geuza na Rekebisha PDF Moja kwa Moja Haraka

Faili zako hazitumwi popote (No Server Uploads). Kila kitu kinafanyika kwenye browser yako, bure kabisa bila kutumia bando kukuokoa na gharama!

Chagua Huduma

Unganisha PDF

Changanya PDF nyingi kuwa moja

Gawanya PDF

Kata PDF katikati kuigawa

Toa Kurasa Maalum

Extract kurasa unazozitaka PDF

Punguza Ukubwa

Inabana saizi ya MB za PDF

PDF kwenda Picha

Badili kurasa zote kuwa JPGs

Picha kwenda PDF

Unganisha picha zako kuwa PDF

Word kwenda PDF

Document kuwa PDF (Nakala Maandishi)

PDF kwenda Word

Toa maandishi yarudi kwenye Word

Chagua huduma upande wa kushoto

Bonyeza kadi yoyote kati ya mshale kuanza kuchakata faili zako moja kwa moja.

Unganisha PDF Nyingi

Bonyeza hapa kuchagua mafaili mapya

Unaweza kuongeza mengine kadri unavyohitaji

Gawanya PDF (Nusu kwa Nusu)

Mfumo utagawa faili hili katikati na kukupa faili mbili.

Toa Kurasa Maalum

Punguza Ukubwa wa PDF (Mbs)

Mfumo utapunguza ubora wa picha zilizomo ili kupunguza Mbs (True Compression).

Badili PDF kuwa Picha (JPG)

Kurasa zote zitabadilishwa kuwa picha na kupakuliwa kama ZIP file moja.

Badili Picha kuwa PDF

Chagua picha moja au zaidi. Kila picha itakuwa ukurasa mmoja wa PDF.

Geuza Word (.docx) kuwa PDF Toleo la kwenye simu/browser (Client-side). Picha (Logos) na mpangilio makini havitapelekwa (Itaondolewa kwa usalama). Nakala itakuwa ya maneno pekee (Text Outline).

Toa Maneno kwenye PDF (Save as .doc)

Inasoma na kutoa maandishi (Text Extraction) kukusaidia kuepuka kucharaza upya.