Mfumo kamili wa mauzo na hesabu kwa biashara za Tanzania. POS, Stock, Wateja, Madeni, na Ripoti - yote katika sehemu moja. Anza na trial BURE siku 14.
Mfumo kamili wa kusimamia mauzo, stock, wateja na ripoti kutoka sehemu moja
Fanya mauzo kwa haraka na urahisi. Risiti za kidigitali, malipo mbalimbali, na mfumo wa search wa bidhaa.
Fuatilia bidhaa zako zote. Pata arifa stock inapopungua na uone historia ya mabadiliko yote.
Mauzo, faida, hasara - yote kwa chati na grafu. Export kwa PDF au Excel wakati wowote.
Ongeza wafanyakazi na uwape ruhusa tofauti. Admin, Cashier, Manager - kila mmoja na jukumu lake.
Tumia simu, tablet, au kompyuta. Mfumo unafanya kazi vizuri kwenye kifaa chochote.
Data zako salama kwenye cloud. Backup otomatiki kila siku, fikia biashara yako popote ulipo.
Anza na trial bure siku 14 - hakuna credit card inayohitajika
Jaribu mfumo bila malipo yoyote
Kwa biashara yenye mahitaji zaidi
Suluhisho kamili kwa biashara kubwa
Jiunge na biashara 50+ zinazotumia NgoshaMauzo kusimamia mauzo yao kwa ufanisi zaidi kila siku.
Jibu la swali lako linaweza kuwa hapa chini