Rahisisha usimamizi wa wafanyakazi, likizo, mahudhurio, misahara na posho. Mfumo kamili wa HR kwa biashara za Tanzania. Jaribu siku 14 bure!
Simamia rasilimali watu wako kwa ufanisi na teknolojia ya kisasa. Kila kipengele kimeundwa kwa kuzingatia mahitaji halisi ya biashara za Tanzania.
Taarifa zote za wafanyakazi sehemu moja - profaili, nyaraka, mikataba, historia ya kazi na faili muhimu. Tafuta na hariri kwa urahisi.
Mahesabu ya mishahara, makato ya kisheria (NSSF, PAYE), posho na bonasi. Tengeneza payslip na ripoti kwa kubofya mara moja.
Kalenda ya likizo, leave requests, usimamizi wa zamu na mahudhurio. Wafanyakazi wanaomba likizo online, wasimamizi wanaidhinisha haraka.
Mchakato kamili wa kuajiri - tangazo la kazi, maombi, usaili, uteuzi na onboarding ya wafanyakazi wapya kwa njia ya kidijitali.
Orodha ya wanaostahili kupandishwa (Eligible List), promotions, overstay analysis na performance evaluation. Data-driven HR decisions.
Ripoti za HR zinazozalishwa moja kwa moja, barua rasmi (uteuzi, uhamisho, onyo), na nyaraka muhimu za utumishi. Export PDF na Excel.
Chagua mpango unaokufaa biashara yako. Kila mpango unajumuisha trial ya siku 14 bure kabisa - hakuna credit card inayohitajika.
Kwa biashara ndogo
Lipa kwa mwezi au mwaka
Kwa biashara inayokua
Lipa kwa mwezi au mwaka
Kwa taasisi na mashirika makubwa
Lipa kwa mwezi au mwaka
Jiunge na kampuni 100+ zinazotumia Ngosha HRM kusimamia rasilimali watu kwa ufanisi na teknolojia ya kisasa.
Jibu la swali lako linaweza kuwa hapa. Kama hapana, wasiliana nasi!