Rahisisha usimamizi wa uhifadhi, mapato, na matumizi kwa mfumo wa kisasa unaokupa udhibiti kamili.
Dhibiti Hoteli Kuwa Kidijitali
Kudhibiti Uhifadhi wa Vyumba (Bookings)
Kutengeneza Ankara (Invoices) Kamili
Usimamizi Mpana wa Mgahawa
Upataji Ripoti za Kifedha Moja Kwa Moja
Tumejihami na ubora kwa matokeo mazuri. Ndiyo maana tunakupa Siku 14 Bure. Jaribu mfumo kwa hoteli yako mapema!