Mfumo wa kisasa wa kusimamia bukini, vyumba, wageni, na malipo yote sehemu moja. Anza na trial BURE siku 14 — hakuna credit card inayohitajika.
Mfumo kamili wa usimamizi wa hoteli unaokurahisishia kazi kutoka mahali popote, wakati wowote.
Tengeneza, hariri, na fuatilia bukini zote kwa urahisi. Check-in na check-out kwa kubofya mara moja tu.
Ongeza vyumba, weka bei, fuatilia upatikanaji na hali ya usafi wa kila chumba kwa urahisi.
Hifadhi taarifa za wageni, historia ya kukaa, mapendeleo yao, na mawasiliano kwa sehemu moja.
Pokea malipo ya M-Pesa, Cash, na Card. Tengeneza risiti za kitaalamu moja kwa moja.
Ripoti za mapato, occupancy, na utendaji wa hoteli yako. Export kwa PDF au Excel kwa urahisi.
Ongeza wafanyakazi na wape majukumu tofauti — Admin, Receptionist, au Manager.
Anza na trial bure ya siku 14. Hakuna malipo ya awali, hakuna mkataba.
Kwa hoteli ndogo zinazoanza
Kwa hoteli zinazokua
Kwa hoteli na mitandao mikubwa
Jiunge na hoteli 50+ zinazotumia Ngosha Hotels kusimamia biashara zao kwa ufanisi zaidi kila siku.
Jibu la swali lako linaweza kuwa hapa. Usipoona, wasiliana nasi!