Andika barua yako kama kawaida kwenye Word. Sehemu zenye kubadilika badilika (Mfano: Majina, Vyeo), weka neno fupi lililofungiwa na Mabano ya Mraba [ ]. Mfano halisi:
[jina],
YAH: KUPANDISHWA CHEO.[cheo]
katika ofisi yetu ya [ofisi],
kuanzia tarehe [tarehe].
Namba yako mpya ya utambulisho ni [namba_mfanyakazi].
Panga majina kwenye Excel. MUHIMU SANA: Majina ya Column zilizopo mstari wa kwanza (Header), lazima yafanane sawasawa na tags ulizoweka kwenye barua ya Word.
[jina]Jina Kamili la Mtu[namba_mfanyakazi]ID Namba[akaunti]Akaunti ya Benki[cheo]Cheo/Nafasi[idara]Idara/Kitengo[ofisi]Eneo la Kazi[tarehe]Tarehe Husika[kiasi]Kiasi/Mshahara Siri ya Mfumo: Sio
lazima utumie tags hizi tu, unaweza kubuni neno LAKO YOYOTE (Mf. [deni_lake]), kikubwa
tu neno hilo liwepo kwenye mstari wa kwanza wa Excel (Kama Column Header).