ngosha.com/research/
Ngosha Research — Advanced Academic Engine
Academic Excellence

Utafiti wa Kisasa, Kasi ya Ajabu.

Jukwaa namba moja Tanzania kwa wasomi na watafiti. Tengeneza hojaji, kusanya data, na chambua matokeo kwa teknolojia ya AI.

Setup dakika 2 AI Technology Data Encryption

AI Generation

Tumia akili mnemba (AI) kutengeneza maswali ya kitaalamu ndani ya sekunde chache.

Real-time Analytics

Chambua data zako papo hapo kwa chati nzuri na ripoti zinazoweza kupakuliwa.

Security First

Data zako ni siri na zimehifadhiwa kwa usalama wa hali ya juu na uhakiki wa OTP.